Waganda Nao Wacharuka Mitandaoni na Kusema Miss wao Mpya ni Mbaya Hakustahili Kushinda

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wakati Sitti Mtemvu akiwekwa kitimoto na Watanzania kwa kudanganya umri wake, Waganda nao katika mitandao ya kijamii wamecharuka na kuwakaba koo waandaaji wa Miss Uganda kuwa mshindi aliyepatikana Leah Kalanguka Miss Uganda 2014 ni mbaya na hakufaa kushinda taji hilo.

Kwa kumuangalia tu mrembo huyu, ni kweli hakustahili taji hilo?
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wala sio mbaya!! wa tz ni muongo sana!!! aseme ana miaka mingapi? hilo taji sitti hausitahili kabisa. Dhamira yako haikusuti jamaniii???

    ReplyDelete
  2. ianze kwanza kwako kukusuta kwa kukumbuka shuka wakati kumekucha,ndipo na siti atafikiria kimsingi mimi bado nipo upande wa mwanadada huyu . kwanini mwanzo i mean wilaya , mkoa , miss tz ndo muibue vikwazo? ahaa wazushi nyie mmezoea kuongea ukuda mpaka kwa viongozi mnazua kashfa za ajabu

    ReplyDelete
  3. wewe nawe ona haya kabisa miye hayo mengine hayanihusu waulize wa temeke kwanini alisema uongo?? tumezusha nini hapo sasa ??? jisikie vibaya basi na wewe jamani kha!!!

    ReplyDelete
  4. Miss Uganda anaumri gani? Sura yake anaonekana ni binti mdogo tu, tena anaweza hata kushinda ktk Miss World kwa sababu 'hakufoji' rangi yake ya ngozi kama SITTI alivyo foji kuanzia rangi, umri, mpaka elimu eti ana Masters!!.

    ReplyDelete
  5. Sema wewe mwenzangu hivi kweli anaweza kwenda miss world kwa udanganyifu huuu?? Nashangaa wanaomtetea wakati wanajua wenzentu hawana mchezo !!! Sitti usijaribu kwenda miss world utatuaibisha kwani kwanza huwezi kukubali wewe miaka 25 na kule ni 18-23 tu, Pole wewe!!! Watanznia mmezuea kubebana umebebwa kuanzia kitongoji hivi unafikiri miss world watakubali ?? na wameshapata data zako!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad