AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Huu mimi naona ni ushamba wa hali ya juu, yani wewe unadhani ukiwa bize na simu ndio usista duu au?sana sana unaonyesha jinsi ulivyo mpweke na haujiamini kinga yako ni simu.
Ebu fikiria unamkuta demu unamsalimia halafu kenyewe kanajifanya ka-cute kanakutazamaa huku kanabofya then kanashtuka eti ah unanisalimia? nitakukata ngumi mbili ufe.
Hivi nani aliwadanganya ukiwa bize na insta au wosapu ndio utaonekana classic washamba nyie?
Ndio maana siku hizi mnakuwa na makengeza kwa sababu ya ushamba wa kuchungulia jicho moja kwenye screen ya simu jicho lingine ndio linaaangalia mambo mengine chunguza vimacho vyao masista duu vimepinda karibia wote.
Acheni huu ushamba wengine tuna mikono mwepesi hatukawii kunasa makofi mtu.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Kwani umelazimishwa kumsalimia? Na pili, ni wanawake tu ndio wako busy na simu siku hizi? Acha kuandika vitu virahisi rahisi. Halafu, mwanaume mzima unatishia kupiga wanawake! There is a million things wrong with that, sijui hata mhariri wako amekuruhusu vipi urushe hii habari!
ReplyDeleteUnapokuwa na akili fupi hivi hebu achana na kuandika vitu ambavyo vinasomwa na maelfu ya watu. Sio lazima kila mtu aandike mtandaoni.