Amini Usiamini Wema Sepetu na Penny Wamaliza Tofauti zao

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Good news iliyonifikia usiku huu kuwa Mtangazaji wa TV Penny Mungila aka VJ Penny na staa wa Bongo Movie Wema Sepetu wamemaliza tofauti zao baada ya kutoelewana takribani miezi kadhaa iliyopita.Upatanisho huo umefanywa na Junaitha ambaye aliandaa chakula cha usiku katika hoteli ya Sea Cliff Hotel Dar es Salaam.
Mastaa hao wawili walitengana baada ya kila mmoja kuwa na uhusiano wa kimapenzi na staa wa Bongo Fleva Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platinumz huku wakiacha gumzo katika mitandao ya kijamii.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hilo nijambo jema ILA cheko la madam laki snitch.

    ReplyDelete
  2. Penny wake up huyo dai mliokuwa mnamgombania atakuua kwa Ebola oohoooo,unakosana Na watu kisa Domo ?mbona he is not cute??au PESA ?

    ReplyDelete
  3. Wanapata baada ya kubwagana na Diomond, si mngepatana kabla, ila kila la heri isiwe kupatana kinafiki uwe upatano wa kweli.

    ReplyDelete

Top Post Ad