Dada wa Diamond, Queen Darleen Afunguka Kuhusu Mawifi zake wa Bandika Bandua

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Queen Darleen ambaye ni dada yake na Diamond, hana tatizo na ‘bandika bandua’ ya mawifi wanaotambulishwa kwake na kaka yake huyo. Kwa mujibu wa Queen, hayo ni maisha yake na anayaheshimu.

Queen ambaye pia ni mwanamuziki, amesema kila msichana anayetambulishwa kama wifi yake, humpa heshima anayostahili.

“Mapenzi siku zote ni ya watu wawili ndio maana unaona hata mimi nina maisha yangu kama maisha yangu siingilii chochote.
Yaani mimi Diamond ukitaka kunichafua umwongelee vibaya. Jambo lolote baya kuhusu yeye, muziki yake na maisha yake binafsi. Kwa sababu kuna watu wengine wanapenda kuzungumzia mambo ya watu, ‘sijui Diamond anaringa’,
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad