Hali ya Afya ya Mchekeshaji Vengu wa Original Comedy

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nilikuwa natazama Komedi ya kundi la Orijino Komedi. Naona katika orodha ya washiriki, ytpo Joseph Shamba "Vengu" ambaye ni mwaka wa pili sasa hajaonekana hadharani.

Yuko wapi? Tuliambiwa anaumwa, vipi maendeleo yake?
Kwa anayejua...atujuze
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. NI KWELI KABISA JAMANI YUKO WAPI ??

    ReplyDelete
  2. jamani "mrema" wetu tumemkumbuka kwa saana vipi hali yake??

    ReplyDelete
  3. Jamani dunia hii watu wamekuwa na roho mbaya sana,Kwani mtu ukitaka pesa lazima lazima mumfanyie mwenzenu vibaya,nyie wakaka mna roho mbaya sana,ila malipo ni kwa mungu halafu ipo siku jamii itajua ukweli wote!the comedy mimi binafsi nimeshamalizana nayo,usio jua poleni zenu.ila mungu anaona.

    ReplyDelete
    Replies
    1. mdau tuambiane basi maana wenzio roho zinatuuma yuko wapi vengu jamani!!!

      Delete
  4. Yaani kwa kweli tumemmiso kinomi!

    ReplyDelete
  5. Wenzetu Nigerians wana amini UKIIGIZA KAMA UNAUMWA AU UMEKUFA lazima ukaombe Mungu kama unatoa nuksi vile sasa huku kwetu unaigiza unaendelea na maisha yako. Chunguza wengi walioigiza mwisho wa siku wamepata mabalaa. Wasanii jaribuni kujifunza katika hili maana sisi ni Waafrika na tunaamini katika Uafrika.

    ReplyDelete
  6. Alimuigiza sana Mrema alivyokuwa anaumwa sasa yeye kaumwa kweli....
    Akaombe dua atoe huo mkosi wa kuumwa km Wanaigeria wanavyofanya.
    Kanumba aliigiza kufa akafa kweli wenzao wakishamaliza wanaomba Mungu awaepushe na yote waliyoigiza.

    ReplyDelete
  7. Steve N alimuigiza Nyerere ,si haba. Rais wa Bongo muvi

    ReplyDelete

Top Post Ad