Video ikionyesha Jinsi Lundenga Alipokuwa Akitangaza Kuvuliwa kwa Sitti Mtemvu Taji la Miss Tanzania

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kamati ya Miss Tanzania ilikutana na Waandishi wa habari kutangaza maamuzi mapya November 8 2014 baada ya taarifa nyingi na mitandao ya kijamii kujaa stori za mshindi wa Miss Tanzania Sitti Mtemvu kudaiwa kudanganya umri taarifa ambazo hata hivyo alishawahi kuzikanusha.
Kama maamuzi mapya yalikupita unaweza kubonyeza hii video hapa chini…

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Lilian sina hakika na yai lake

    ReplyDelete
  2. Jamani zawadi alizopewa Siti inakuwaje? Lundenga tuambie, na ikiwezekana uaandae sherehe tuone Lily anavyokabidhiwa zawadi!

    ReplyDelete
  3. Miss alikuwa Nancy Sumari tu

    ReplyDelete
  4. true tz was nancy only

    ReplyDelete

Top Post Ad