AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kamati ya Miss Tanzania ilikutana na Waandishi wa habari kutangaza maamuzi mapya November 8 2014 baada ya taarifa nyingi na mitandao ya kijamii kujaa stori za mshindi wa Miss Tanzania Sitti Mtemvu kudaiwa kudanganya umri taarifa ambazo hata hivyo alishawahi kuzikanusha.
Kama maamuzi mapya yalikupita unaweza kubonyeza hii video hapa chini…
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Lilian sina hakika na yai lake
ReplyDeleteJamani zawadi alizopewa Siti inakuwaje? Lundenga tuambie, na ikiwezekana uaandae sherehe tuone Lily anavyokabidhiwa zawadi!
ReplyDeleteMiss alikuwa Nancy Sumari tu
ReplyDeletetrue tz was nancy only
ReplyDelete