Changudoa Apoteza Fahamu Baada ya Kuzidisha Wanaume Ndani ya Usiku Mmoja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msichana  mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Jenipher, anayedaiwa kujiuza katika maeneo ya Shivaz na Kaloleni, amekutwa akiwa amepoteza fahamu kando ya barabara, katika harakati za kujipatia chochote kipindi hiki cha sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya.

Akiwa pembeni ya barabara, Jenipher anayeelezwa kuwa maarufu mjini hapa, anadaiwa kuwa siku hiyo alizidisha idadi ya wanaume aliotoka nao, kwa ajili ya kujipatia kipato cha kutosha ili aweze kuburudika vizuri wakati wa sikukuu ya Krismasi.

Baadhi ya mashuhuda wanaomfahamu msichana huyo walisema kwamba katika kipindi cha wiki nzima iliyopita, alikuwa akisaka wanaume kwa bidii na kwamba alikuwa tayari kwa ajili ya kutoa huduma hiyo mahali popote.

“Unajua hapa kila mtu na mambo yake, huyu Jenipher siku zote tupo naye ila wao huwa hawaendi kulipia gesti, ila wanafanya ngono popote hata mtaroni, kwenye ukuta ilimradi huyo mwanaume yupo tayari, ila usiku alizidiwa na wanaume na hakuwa amekula,’’ alisema mmoja wa dada poa aliyekataa kutaja jina lake.

Mmoja wa wamiliki wa baa iliyo maeneo hayo, aliyeomba hifadhi ya jina lake, alisema wasichana wengi wanaojihusisha na biashara hiyo wamekuwa na tamaa kiasi cha kushindwa kujali afya zao, kwani baadhi yao huacha hata kula chakula, badala yake, hunywa pombe aina ya viroba.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad