Mke wa George Tyson ashinda mirathi Baada ya Mtafaruku Mkubwa Uliotokea Kugombea Mali..Soma Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mke wa muandaaji mahiri wa filamu George Tyson, Beatrice Shayo amefanikiwa kushinda kesi na kuwa msimamizi wa mirathi baada ya mtafaruku mkubwa uliotokea wa kugombea mali na mwanadada aliyekuwa akiishi na msanii huyo kipindi cha mwisho cha uhai wake, Lucy Sepetu.

Akizungumzia ishu hiyo Beatrice alisema anashukuru Mungu amempigania maana ndugu wengi wa mume hawakuwa upande wake, wengi wao walimuunga mkono Lucy lakini Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni imempitisha kuwa msimamizi wa mirathi.

“Nililia sana na kumuomba Mungu kila kukicha kutokana na hili, nashukuru nimeshinda kesi na kuwa msimamizi wa mirathi yakiwemo mashamba, kiwanja, magari mawili na akaunti benki na hivi vyote navisimamia kwa ajili ya watoto wake watatu, ambao ni mwanangu, wa Monalisa na mwingine ambaye aliibuka baada ya kifo cha mume wangu,” alisema Beatrice.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad