AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Aibu Kubwa Imetokea Katika Kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar baada ya Mvua Kubwa Anayonyesha Kuvuja Ndani ya Sehemu ambapo Abiria wa Mataifa mbali Mbali ukaguliwa Tickets zao Kabla ya kuingia Kwenye ndege, tukio hilo limeshuhudiwa na Raia mbali Mbali Kutoka nchi tofauti waliokuwa wakifanya ukaguzi waTickets zao..
Angalia Video ya Aibu Hapa:
----
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
Wale akina nanihii warudishe millioni mia moja moja tu ktk mabilioni ili zitumike kuziba hii aibu!!
ReplyDeleteAlafu haya mambo ya kuwapitisha viongozi, VIP, mimi naona hata, ilitakiwa wapite hapo washudie hiyo aibu yake mbele ya watu wa mataifa mengine wanaopita hapo na kupeleka hii aibu manake watasimulia tu, kazi kuiba mahela tu na kujenga mahekalu, hii haibu inampata kila Mtanzania,anaeshi Tanzania au anaishi NJE ya Tanzania,
ReplyDeleteKidumu chama cha mapinduzi,naipenda sana nchi yangu yenye amani na upendo.
ReplyDelete