Dida : Nigombee Bwana kwani Wanaume Wameisha?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MTANGAZAJI wa Redio Times FM, Khadija Shaibu ‘ Dida’ amesema siku zote anapokuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi akigundua mtu wake ana ‘ date ’ na mwanamke mwingine, kamwe hatathubutu kugombea bwana ila atanawa mikono.

Akibonga na paparazi wetu hivi karibuni Dida alisema , hakuna kitu ambacho kwake anaona ni cha kipuuzi kama kugombea penzi , kwa kuwa mtu anapokusaliti ni wazi upendo wake umehamia kwa mtu mwingine hivyo hawezi kujing’ ang’ aniza.

“Nawashangaa sana wasichana wanaokosa kazi ya kufanya kwa kuanza kuwagombea wanaume, wengine wanadundana hadi kutoana manundu, hivi nigombee bwana kwani wanaume wameisha? Mimi nikimkuta mtu wangu yupo na mtu mwingine wala sijishughulishi, nachukua hamsini zangu, ” alisema Dida
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad