Dougiemasta wa Instagram Ala Ndimu na Kumtolea Uvivu Diamond na Zari The Lady Boss

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Dougiemasta wa Instagram Ala Ndimu na Kumtolea Uvivu Diamond na Zari The Lady Boss
Jisomee Hapo Chini mwenyewe:

"Diamond kaka jifunze kufikiri kabla hujafanya kitu diamond umeachana na mwanamke wako hata two or 3 weeks hajizapita tayri umetafuta mwanamke mwengine haahah nikuchek kidogo funny part unaenda kweny media na kuanza kusema mala ooh gari kapewa na mwanaume mala safari ya china ningekuona unaakili sana wema Ckapewa bmw na mwanaume unavyo sema ww basi na ww ungempa range yani kumuonesha huyo mwanaume kuwa you can do better than BMW ila dai mm leo ndo nakupasulia jipu lile gari ni mkono wa @endlessfame vija wawatu wamejichanga kumpa kitu kidogo boss wao japo asilimia kubwa katoa @martinkadinda dai huwez kusema martin hana huwezo wa kumpa wema BMW kiukwel dai unapaswa kumuomba msamaha martin umemkosea na kumshusha dai sio kila mtu anapenda kujitangaza kama ww kuna wengine hawapendi kutangaza maisha yao binafsi huwez jua martin ana nini..kuna wasanii wangapi hapa bongo wana pesa kukuzid wewe..haya dai ww tuende mbele turud nyumba hatakama unampenda mama yako huu mwaka wangapi unakaa nyumba za kupanga? na unapiga show sio china ya milioni 10 tena zaid ya 15 lakin kipi cha maana dai ulicho kifanya kiukwel hakuna gari ulilo wahi nunua zaid ya murrano ya wema na ile ya mama yako zingine zote unapewa dai ulisema umenunua mtaa mzima kinondoni plz tuambie jina la mtaa...dai una promise nyingi sana yani wewe huwa unaota kabla ua kufanya...mtazame ommy dimpoz huu mwaka wa ngapi sasa hakuna anae mjua mwanamke wake tukisema unasafiria nyota za wanawake unatuida haters tukalambe ndimu ila nikwambie hutukomoi hata kidogo..basi dai stick na huyo zari na zari tulia na dai tujue moja... wenyewe tunamtegemea kesha tuletea tuzo 3 next atateta mtoto halfcast wa kiganda mama dai yuko south akitoka huko anaenda kulea wajukuu zake ug..zari humjui dai nakuombea awe ametia nanga kwako lakin if yupo na ww kumkomesha wema ahhahaha my dia andaa tishu kiukwel zari b4 project sikufichi watu walikuwa wanakupenda sana bongo including me bcz tulikuwa hatukujui tulikuwa tunakuone upo so classic ila mmh ila mm nakwambia hiyo nguvu unayo tumia kuwalipa wakina.... ili wakupost my dia you make ppo dig u even more haya leo hii watu wanajua accnt za wtoto na wanajua babako yuko wap' Dogiemasta
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hana akili huyo anaejiita Dougie ushuzi.achakuingilia maisha yawatu umbea tu kwaniwanatumia viungo vyako mpaka likukere au nawewe nyaturu line nyooo kwenda huko

    ReplyDelete
  2. so what bitch ass fuck ww una nini hata baiskeli huna kaz kuangalia ya wenzako na utakufa hivo hivo nikikuangalia hapo nakuona huna lolote eti unamsema dai yanakuhusu nini kujipendekeza tu

    ReplyDelete
  3. Kwa kweli me kwetu znz ila niko nje ya nchi kwa miaka mingi tu na nampenda sana diamond na nyimbo zake na kikubwa napenda alipotoka na anavyohangaika kutafuta hela.. iwe ni mfano wa kuingwa kwa wapenda maendeleo ni kwamba kama ukikusudia kujikomboa kimaisha ukijkaza bas utaweza. . Ila hawa wengine wasokwisha kuponda ni wale wenye chuki na wasopenda maendeleo ya wenzao, tusiwe selfish na maendeleo ya wenzetu na sisi tujitahid kufika walipofika au zaidi ya apo kwa nia njema na upendo.

    ReplyDelete
  4. Huyu jibwa mastar anaboa kiukweli kutwa lipo istar kuangalia maisha ya watu, kwanza anajifanya makavu live lkni ni muhoga tu ndio mama aweki picha take watu wakamuona yeye ni nani

    ReplyDelete
  5. Atutolee jasho sie angekuwa mwanamke kweli asingejificha mbona wenzie wakina mati Kiboko yao wanajionesha na makavu wanatoa hao ndio wanaojiamini sir ilo jibwa la uswazi dougie

    ReplyDelete
  6. kumaaaabaaakeeeeeeee domo kubwaaaaaa km chapati na huyo mama wa watoto 3 malayaaaaaaaa kaachikaaa

    ReplyDelete
  7. Mbwa koko usikute ndio Wema mwenyewe maana hana life. Si alijigamba kamuacha Diamond sasa pilipili inamuasha nini??? Umalaya wake ndio umevuna hayo, alitaka alambwe miguu sijui khaaa! Diamond usirudi nyuma we jilie vyako achana na upuuzi wa mashangingi ya insta.

    ReplyDelete
  8. Jamani wabongo lini mtabadika?!kutwa kufatilia ya watu haya huyo diamond maisha take yanakuuma nini anaruhusiwa kuwa na mtu yeyote yule katika maisha take sio lazima wema.eti angemnunulia reng Hivi wewe unaakili kweli yaani ulichoongea apo sijui unaelimu ya kiasi gani.fanya kazi Upate nawe pesa ulimwengu ukujue kama zari na diamond.

    ReplyDelete

Top Post Ad