INASIKITISHA: Mtunisi afikishwa mahakamani kwa kumpiga mkewe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtunisi alipandishwa katika Mahakama ya Mwanzo Manzese Sinza jijini Dar es Salaam Jumatatu iliyopita, ambapo baada ya kusomewa shtaka lake la kushambulia mwili, mtuhumiwa alikana na hivyo hakimu kuahirisha kesi hiyo hadi Desemba 15 mwaka huu itakapotajwa tena.

Hata hivyo, Mtunisi alishindwa kupewa dhamana baada ya hakimu kutoridhishwa na afya ya mwanamke huyo, Aziz ambaye anaugulia nyumbani.Katika hali nyingine, walinzi wa mahakama hiyo walionyesha mizengwe mikubwa kwa waandishi wa habari hizi, kwa kuwazuia kuingia ndani ya chumba cha mahakama wala kupiga picha, kwa madai kwamba sheria zao haziruhusu.

Wakionekana kama waliopewa maelekezo maalum, waliwataka kupeleka barua kutoka chombo chao cha kazi, kwani hata baada ya kuwakumbusha kuwa zoezi hilo lilishafanyika siku za nyuma, badala ya kupekua mafaili yao ili kuiona barua hiyo, waliwataka kwenda kuleta nakala ya barua iliyoandikwa awali, zoezi ambalo lilikuwa gumu kutokana na muda.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad