Hivi Mnaoendaga Kwenye show za Miziki ya kibongo Mnafaidi nini Hasa?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Yani msanii badala ya kuimba anapiga mayowe tuu huku akiwaelekezea mashabiki maiki. Kiufupi miziki ya kibongo bora kusikiliza redion lakin sio kwenda kutazama kwenye show!!

Juzi Nilikuwa Kwenye Show moja Ki ukweli nilichokuwa nasikia ni  Yo yo yo...Piga Keleleeeeee, Mpaka wimbo ukaisha

Sasa ninyi mnaoendaga huko mnainjoi nini hasa?
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wanaenjoy Makelele. What is your problem

    ReplyDelete
  2. ikiwezekana wawekee na fare kabisa wanaoweza wajipime make wanahisi nauli zenu ni zile za sh2 umefika kwenu,na bado wazee mnajaa kwenye magari kama sisimizi wengine na ndinga zao za kifahari

    ReplyDelete
  3. ikiwezekana wawekee na fare kabisa wanaoweza wajipime make wanahisi nauli zenu ni zile za sh2 umefika kwenu,na bado wazee mnajaa kwenye magari kama sisimizi wengine na ndinga zao za kifahari

    ReplyDelete

Top Post Ad