AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mwanasheria Mkuu aliyejiuzulu Jaji Fredrick Werema Amekata simu aliyopigiwa na Sauti ya Amerika walikuwa wanataka kujua kama kweli kweli Kajiuzulu. Walipiga simu wakamsalimia, badala ya kujibu salamu yeye kama Asante. Wakamuuliza tena, Tunasikia umejiuzulu kiti chako chako, Yeye akajibu sikua na kiti kisha akakata simu.
Bonyeza Hapa Kusikiliza:
----
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
Inamuuma
ReplyDeleteKweli jamaa ni mswahili,yaani hakuwa na kiti!Teh teh teh
ReplyDeleteHakuwa na kiti bali kitanda pale bungeni, si unajua muda mwingi yeye na wasira wapo usingizini
ReplyDeletehana lolote ni aibu yake aibu kubwa!!! kujiuzulu tu hakutoshi unatakiwa ushitakiwe!!!
ReplyDelete