Miss Tanzania Salha Israel Afunga Ndoa Kwa Siri na Mume wa Jack Patrick Anaye Sota Jela

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Udaku Specially Limenyaka Habari kuwa Mume wa Jack Cliff anayejulikana kwa jina la Abdulatif Fundikira ‘Tif’ amefunga ndoa kwa siri na Mrembo Salha Israel Ambaye Aliwahi kushiriki Mashindano ya Miss Tanzania ...Ndoa Hiyo ya kiserekali imefanyika kwa siri Jumapili iliyopita huku mke wa Abdulatif Fundikira wa Kwanza Jack Cliff Akiwa nchini China Akitumikia Kifungo Jela Baada ya Kukamatwa na Madawa ya Kulevya.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Safiiiiii,hapo ndo umepata mke sio yule kicheche

    ReplyDelete
  2. Mwandishi nenda kanyake na hili "kama wote ni waislamu kwanini wamefunga ndoa ya kiserikali?"

    ReplyDelete
    Replies
    1. hata mimi hilo nilikuwa najiuliza? au kuna nini?

      Delete
  3. UMEOLEWA NA ZUNGU LA UNGA POLE

    ReplyDelete

Top Post Ad