Mwanasheria Albert Msando Aonyesha Utajiri Wake Instagram...Mwenyewe Adai Anawapa Hasira Wengine

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwanasheria Albert Msando ambaye alipata ummarufu kupiti CHADEMA alipo ukwaa udiwani wa moshi na kupata shavu kadhaa za uwakili sasa ameonesha jeuri za kutosha kupitia ukurasa wake wa instagram kwa kutupia picha mbalimbali za magari yake na mijengo yake na kuwatupia vijembe vijana wengine ambao bado wanasota vijiweni choka mbaya wajifunze kwa kutamani mafanikio yake.

pia amekuwa akiwaponda vijana wa kishua ambao kucha kutupia picha za magari ya baba zao na nyumba za baba zao kwani hata yeye anazo.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. si amesha kula za escrow

    ReplyDelete
  2. hamna lolote mwizi tu wewe, ni wachache sana wanaopata hela za halali hapa TZ na kumiliki vitu hivi na hawajionyeshi, wanaopata hela za wizi au haramu ambazo azitokani na jasho lao, hizi ndiyo tabia zao za kujishaua hapa bongo, ukweli ndo huo.

    ReplyDelete
  3. kazi gani umefanya ya kukuingizia kipato kikubwa ghafla hivyo?
    Unga,Escrow,...................ni wizi mtupu nyambafu weeeeee!

    ReplyDelete
  4. yaani hivyo vigari na hicho kijumba ndiyo utajiri ............ kweli IQ za wabongo mbululaa... ndiyo maana hata Diamond anajiita Dangote sijui kwa kipi?



    ReplyDelete
    Replies
    1. tajiri wa wanawake

      Delete
    2. IQ yake imemuwezesha kupata hayo magari na majumba, so we mwenzetu useye na IQ mbulula za kibongo una kipi?, au ndo nyie wa "my daddy, my mom"?

      Delete
  5. sheeeeeeeeeeeeeeeeeeedah!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  6. diamond ni dongote wa mademu!!

    ReplyDelete
  7. kweli nyie wote mafala aisee

    ReplyDelete
  8. kweli watanzania sifa zimetujaa

    ReplyDelete
  9. Ni jambo la kawaida sana kwa wanadamu kutokubali mafanikio ya wengine....

    ReplyDelete

Top Post Ad