AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mwanasheria Albert Msando ambaye alipata ummarufu kupiti CHADEMA alipo ukwaa udiwani wa moshi na kupata shavu kadhaa za uwakili sasa ameonesha jeuri za kutosha kupitia ukurasa wake wa instagram kwa kutupia picha mbalimbali za magari yake na mijengo yake na kuwatupia vijembe vijana wengine ambao bado wanasota vijiweni choka mbaya wajifunze kwa kutamani mafanikio yake.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
si amesha kula za escrow
ReplyDeletehamna lolote mwizi tu wewe, ni wachache sana wanaopata hela za halali hapa TZ na kumiliki vitu hivi na hawajionyeshi, wanaopata hela za wizi au haramu ambazo azitokani na jasho lao, hizi ndiyo tabia zao za kujishaua hapa bongo, ukweli ndo huo.
ReplyDeletekazi gani umefanya ya kukuingizia kipato kikubwa ghafla hivyo?
ReplyDeleteUnga,Escrow,...................ni wizi mtupu nyambafu weeeeee!
yaani hivyo vigari na hicho kijumba ndiyo utajiri ............ kweli IQ za wabongo mbululaa... ndiyo maana hata Diamond anajiita Dangote sijui kwa kipi?
ReplyDeletetajiri wa wanawake
DeleteIQ yake imemuwezesha kupata hayo magari na majumba, so we mwenzetu useye na IQ mbulula za kibongo una kipi?, au ndo nyie wa "my daddy, my mom"?
Deletesheeeeeeeeeeeeeeeeeeedah!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeletediamond ni dongote wa mademu!!
ReplyDeletekweli nyie wote mafala aisee
ReplyDeletekweli watanzania sifa zimetujaa
ReplyDeleteNi jambo la kawaida sana kwa wanadamu kutokubali mafanikio ya wengine....
ReplyDelete