Mwigizaji Mtunisi Awaponda Wadada Wanaojidai Kuwa na Wachumba Nchi za Nje

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Muigizaji nguli na muongozaji wa filamu za kibongo, Nice Mohamed “Mtunisy” leo amewatolea uvivu wale wadada amabao wana dai kuwa na wachumba wao wapo nnje ya nchi. Hivi ndivyo alivyofunguka kwenye ukurasa wake wa kwenye mtandao wa INSTAGRAM.

"Duh yaelekea huko nchi za nje kuna WACHUMBA wa dada zetu wengi hapa nchini maana kila mdada ukimuuliza mchumba wake anakuambia yupo NJE cha ajabu miaka inakatika wamuona yupo mwenyewe tu hebu nyie WACHUMBA mlio huko NJE rudini basi muje kuwaoa hawa wachumba zenu wanazeeka huku au kama mumepata wengine huko muwaruhusu basi waolewe na kina bwa. SHOMVI wa huku au fix zao tu hawa wadada?".

Eti wewe unaionaje hii….
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kila mdada nowdays mambo yote mchumba nje, mambo ya on line, si blogg zingine ziafanya hiyo kazi ya kutafutia wachumba nje, wanaume wa kibongo choka tu, mario walio wengi na wanawake ndio hao wanapeperuka kazi kwenu wakina kaka, mjipange, ama laa mtasubiri sana

    ReplyDelete
  2. Ndugu zetu mliyonyumban bongo mnaugonywa wa kuchukia ndugu zenu tulioshindwa kupata ajira bongo kuhamua kusonga mbele sasa sijui mlitaka tuwe majambazi au mateja

    ReplyDelete

Top Post Ad