Hizi Siku za Sikukuu Ukiona Mchumba Ama Mke au Mume Anakukwepa Kwepa Ujue Unamegewa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hizi Siku Za Sikukuu Na Weekend Ndo Siku Ambazo Michepuko Uasherati Unafanyika So Kwa Wale Ambao Wako Kwenye Mahusiano Alafu Wamepanga Appointment Leo Alafu Mambo Yamebuma Ujue Unamegewa,na Wale Ambao Wameoa Alafu Wake Zao Wamepata Safari Za Ghafla Mara Naenda Kumuona Mama Au Shangazi Ujue Unaibiwa.

Ukiona Mumeo Naye Anakuambia Kuwa Anaenda Kutembea Kwa Washkaji Zake Ujue Kuna Michepuko. Hivyo Siku Kama Ya Leo Wenye Familia Walipaswa Kutoka Na Familia Zao Na Wanandoa,wachumba ,na Wapenzi Pia Nao Walipaswa Kutoka Pamoja.NAWATAKIA SIKUKUU NJEMA MIE NIMELALA NA MGEGEDO WANGU
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad