Prof. Tibaijuka Akataa Kujiuzulu, Asema Kujiuzulu Sio Fasheni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka, akiongea na wanahabari hivi punde ndani ya Hyatt Regency Hotel Dar es Salaam amesema haoni sababu ya kujiuzulu kutokana na sakata la akaunti ya Escrow.

Aongeza kuwa watu wanaona suala la kujiuzulu kama fasheni ila yeye hayupo katika fasheni hiyo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HAKUNA CHA FASHENI YA KUJIUZULU MAMA UNATAKIWA KUACHIA NGAZI TU !!!!!DAH!!!

    ReplyDelete
  2. we mama, unavyozidi kung'ang'ana untupa hasira wananchi na wana ccm,
    mwishowe 2015 tupoteze kura kwa ajili yako, plz, JIVUE GAMBA

    ReplyDelete
  3. kuchukua mahela ya kodi kwa wizi ndio fasheni eeh!!!! mama wee anza tu huna lolote wala mpya hata mwanamke tena mtoto mdogo kama malala ana upeo na busara, kuliko

    ReplyDelete
  4. Ni heri kujiuzulu kuliko kufukuzwa.

    ReplyDelete

Top Post Ad