Rais Kikwete Akutana na Diamond Platnumz na Mshindi wa BBA Idris Sultan

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais Kikwete leo amekutana na mwanamuziki Diamond Platinumz na mshindi wa shindano la Big Brother Africa Idris Sultan na juwapongeza kwa ushindi walioupata recently huko Afrika Kusini.

JK amempongeza Diamond kwa kutwaa tuzo tatu za muziki za Channel O huku akimpongezza pia Idris kushinda BBA bila kufanya mambo machafu mjengoni.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kweli huyu mkwere hana kazi ya kufanya?really na matatizo yaliyopo bongo hilo la kupoteza muda wake?mwalimu uliona mbali na kweli yanatimia.

    ReplyDelete
  2. Hacha wivu na akili za kipuuzi diamond katangaza nchi na kareta heshima tanzania wewe na Baba yako mmetangaza nini kazimajungu tuu safi sana Jk

    ReplyDelete

Top Post Ad