Mpita Njia Auwawa kwa Risasi na Majambazi Waliovamia na Kupora Duka la MPesa Morocco

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jana Kwenye Mitandao zimezagaa Habari Kuhusu Huyu Dada aliyepigwa Risasi Maeneo ya Morocco nyuma ya Airtel Building a lady was shot to dead!!
Bodaboda walivamia kiduka cha M-PESA, tiGO PESA na Airtel Money; wakati wanaondoka wakawa wanapiga risasi ikampata huyu dada alikuwa anajipitia barabarani hajui hili wala lile.

My Take:
Dah! Kwa mambo kama haya ndio najikuta naamini kwamba Kuwa Mtanzania ni shida sana, yaani hawa wahuni wanaenda kupora kwenye M-Pesa na kuua watu halafu wanafanikiwa kuondoka wakiwa salama? Yako wapi mafunzo ya Jeshi la Polisi, waliokaa CCP Moshi kwa miezi sita kwa kodi za wananchi?
Uko wapi ujasiri wa Polisi wanaopandishana vyeo kila kukicha? Wahuni wanaua wananchi mchana kabisa na bado mnasema hii ni nchi ya amani? Imekuwa polisi ya maneno mengi tu na vitendo vifupi. Yaani nimejisikia vibaya mno kwa kifo cha huyu mama ambaye alikuwa akipita njia tu na zake. (RIP)
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kweli mafunzo ya miezi 6 haitoshi kwa usalama wa raia na mali zao,wanatakiwa elimu ya kutosha,masomo kuhusu jamii,sheria za nchi,jinsi ya kujihami self defence,kujifunza first aid and CPR,ili kuweza kuokoa maisha ya watu,kutalii nchi 3 au 2 kabla ya kuajiriwa,Mungu tusaidie ,katiak nchi yetu Tanzania,pia askari wawe wavumilivu.

    ReplyDelete

Top Post Ad