WEMA: Sitaki Mniingilie, Maisha Yangu Naamua Mwenyewe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwingizaji wa filamu, Wema Sepetu aliyasema hayo baada ya baadhi ya watu wanao m-follow mitandaoni kuanza kumtukana na kukosoa kila kitu anachokiweka  eti kwasababu tu hawampendi.

Baada ya mamba haya kuendelea kwa mda kidogo, hasa baada ya yeye kuachana na aliekuwa mpenzi wake, Diamond Platnumz, hatimaye Wema  aliwatolea uvivu na kuaonge meneno makali kuwa wote wasio mpenda wa ache kum-follow kwani  hakuna wakumwambia nini akiweke au asikiweke mtandaoni na hayo ni maisha yake hakuna wakumpangia. Wema alisema;

"My Life... My Rules... You dont like it Unfollow me.... Jus a quick reminder.... Jamani this be my own account.... My personal account... So nitamtag yoyote ninayetaka kumtag.... na bado siku ntatag watu mtashangaa maana sasa naona tunaingiliana mpaka kwenye kupost.... Akha...!!!! Hivi lini mmeskia nafatilia mtu kwenye post zake... Tusiingiliane jamani tafadhal... nat kwenye simu yangu.... I post watever I want, wenever I want, however I want.... u gat a prob...? Deal wit it.... Talk abt entertaining people sijui wanaotukana... I can entertain anybody I want....!!!! Period.....!!!! Afu pia tusifundishane namna ya kuishi aswell.... Like I said my life, my rules...."

Hatua ya Wema kutoa  kauli hii ilizua mdaja marefu sana, wapo walio muunga mko Wema kwasababu ni kweli kunawatu wamezidi kufanya vitendo ambayo sio vya kistaarabu hata kama mtu haumpendi sio lazima um-follow naanze kutema mbaya, ila wapo waliosema azi-BLOCK baadhi ya  akaunti za watu ambao wanafahamika kuawa ndio wanao chafua hali ya hewa nakuzitaja kabisa kwa majina. Ila wapo walio mpa moyo kwamba ustaa ni nzigo la mwiba kwa hiyo yeye awaache tu na mashabiki kwa mashabiki wata malizana wenyewe kwa wenyewe yani wale wanaomopenda wa wasiompenda awaacha wavutane.

Hili swala la watu kuchafua page za watu huko mitandaoni kwa lugha chafu sio kitendo kizturi  hata kama mtu haumpendi sisi kama bongomovies.com kwa nguvu zote tunakemea vitendo kama hivi. KAZA MOYO WEMA.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ngoja nitamfollow kesho nimpe mawazo. Miaka sita iliyopita nilimpa mawazo ambayo hakuyatilia maanani kabisa, akaingilia maisha mkenge mkenge na kuwa wa kubadilisha wanaume kila kukicha. Alikuwa mzuri sana wakati ule na nilidhani alikuwa na future pona sana; ila nikasikia mara yuko ukonga sero, mara kawekwa nyumba huko vichochoroni na akina Jumbe mara mke mdogo wa Hartman, nikaona huyu hafundishiki tena, Kuanzia hapo maisha yake yamekuwa ya hovyo hovyo tu akiwa na rekodi nzuri sana huko kwenye mahoteli ya ufukweni. Sasa baada ya kuadhalilishwa kwa nguvu sana na aliyekuwa akiamaini ndiye mpenzi wake wa moyo Diamond ambaye baada ya kumpata mrembo Zari hakutaka hata kumsetiri Wema tena akiona umri ukiwa unakwenda, nadhani sasa hivi ana akili za kujua mambo zitakuwa zinamrudi wema. Diamodn na Zari hawaendi popote baada ya White Party hasa ukizingatia Zari hahitaji mme tena; ana watoto watatu wakubwa sana, na akitaka anaweza kumrudia mme wake wakati wowote kwa sababu ya watoto. Halafu Diamond ni mdogo sana kuwa mme wake zaidi ya serenegti boy wake tu. Ukijua Zari alivyo mtumiaji sana wa pesa, wakati Diamond ni mtunzaji sana wa pesa unaona kuwa hao siyo pair moja hata siku moja. Ila maumizu makubwa yatabaki moyoni mwa Wema kwa vile alimpenda sana Diamond kabla hata hajwa star.

    ReplyDelete

Top Post Ad