Wolper Atolea Ufafanuzi Picha ya “ Jambazi la Bongo Movie” iliyoleta Utata Mtandaoni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nguvu ya mitandao ya kijamii ni kubwa sio tu iliweza kusababisha mtu akajivua taji la U-Miss bali hadi kuwapa ushindi kina Diamond na Idris..sasa sijui hii ya hii picha ya Jambazi la Bongo Movie ingetupeleka wapi.

Picha hii  inasambaa kwa kasi sana mitandaoni, imuonyesha jambazi akimuonyesha bastola mwandada (ambae bila shaka anaonekana mwigizaji Irene Uwoya). Sasa cha kishangaza wengi ni kwamba “kaka jambazi” amevua viatu!!!!!. Hii imepelekea watu wengi kuiponda sana tasnia ya filamu hapa nchini kuwa hawako “ serious” na kazi yao.

Hii imemfanya mwigizaji Jackline Masawe "Wolper" kutolea ufafanuzi, na hivi ndivyo alivyofunguka;

Nimeona watu wengi wanapost hii pcha jamani hii walikua katika majaribio yani kabla camera aijawashwa lazma Muongozaji aone mnachofanya kma iko sawa ndo camera inawashwa sasa ktka majarbio haya kuna watu pemben na mambo ya insta ndo watu wanapost kwamba wapo location sasa unapopost bila kujua nakuponda au kushangaa mnakua mnazingua mjue kwanza ndo mpost ..sjui tumeelewana wajameni!!?”
Je wewe unamaoni gani juu ya ili?!!
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Keshavulugwa huyo! Leo ndio anayasema hayo? Siku zote alikua wp?

    ReplyDelete

Top Post Ad