Agness Masogange Akana Tuhuma za Kutoka na King Lawrenc, Saa yamkononi yaleta Utata

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Baada ya Mrembo Agness Masogange Aishie Njia South Afrika kupost kwenye instagram Picha ya Mkono wa Mwanaume wenye saa nyeusi, watu na page mbali mbali walianza kumshambulia na kusema mkono huo ni wa King Lawrenc na wengine kuandika kuwa ni project mpya, Agness Masogane Amejitokeza na kuandika haya instagram:




"Mkono huo ni wa Boyfriend wangu na sio wa huyo mnaemsema na wala simjui hata sijawahi kumuona..muwe mnachunguza vitu kwanza sio kukurupuka tu na kuongea ongea ovyo"


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ona watu wanavyomwaga hela huku. nenda kwenye hiyo link http://earn4youth.com/?ref=51613

    ReplyDelete
  2. Ona watu wanavyomwaga hela huku. nenda kwenye hiyo link http://earn4youth.com/?ref=51613

    ReplyDelete
  3. Akanushe asikanushe yote ni heri tu kwani Malaya ni Malaya tu. Mtu mwenyewe hata haijulikani ni kitu gani anakifanya katika maisha yake zaidi ya kututundikia picha za umalaya.

    ReplyDelete
  4. Serena Williams won her 6th AustralianOpen and her 19th Major title............
    A Special Congratulations to the Great Female Tennis Player of All Time SerenaWilliams For Her AustralianOpen Victory.

    ReplyDelete
  5. Halafu huyu mwanamke Malaya hana hata Shule. Kiingereza chake kibovuuuu. Anashindwa hata ku comprehend vitu vidogo vidogo. Angalia sasa kwenye IG yake badala ya kuandika officialagnes eti yeye kaandika officiagnes LOL. Kweli Shule ni muhimu sana kuliko kubakia hapo na kututundikia picha za kiumalaya...........

    ReplyDelete
  6. Sawa kabisa ukosefu waelimu na malezi bora kinachangia kwakinadada kama hawa

    ReplyDelete

Top Post Ad