Washabiki Msipende Kudandia Treni kwa Mbele Mtagongwa - Shilole

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwenye Kipindi cha TV cha Friday Night Jana usiku Kituo cha EAT Shilole Amefungukia mashabiki wake kuwa Wasipende kudandia Treni kwa mbele Mtagongwa ,kawaambieni hivyo mashabiki wake kwakuwa mmeishupalia ishu ya kumpiga vibao 'mmewe' wakati hamjui kilichotokea
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni lazima tuishupalie kwa sababu huo unyama unaomfanyia huyo mwanaume ni unyanyasaji uliopitiliza. Na tunajua ni kwanini unamfanyia hivyo. Hiyo ni aibu kwako kuendelea kumnyanyasa hicho Kifaranga kwa sababu tu unajua hawezi kufanya chochote kwa sababu ya umasikini wake, kutokuwa na Elimu, Kutotaka kujishughulisha ili na yeye awe mwanaume anayejitegemea na mengine mengi tu ikiwamo kuwa aina ya mwanaume anayependa vitu vya dezo. Tunajua unaelewa hivyo ndio kwa maana unafikia hatua ya kumnyanyasa na kumdhalilisha mbele ya jamii. Sasa kwa majibu yako mepesi na yasiyokuwa na aibu unailaumu jamii kwa upuuzi wako mwenyewe. Ulitaka jamii ilifumbie macho na kukaa kimya kwa jambo la aibu kama hilo????????????

    ReplyDelete
  2. Ushauri wangu kwako wewe Shilole ni mpatie mtaji wa kitu chochote huyo Kijana ili akaanze mbele na maisha yake. Kuliko unavyomfanyia sasa hivi kwa kumdhalilisha na kumnyanyasa mbele ya jamii. Kwani huo ni uonevu mkubwa. Halafu kwako Shilole nenda katafute mwanaume wa maana mwenye fedha na mali halafu tuone kama utamnyanyasa na kumdhalilisha kama unavyokifanyia hicho Kifaranga.

    ReplyDelete
  3. KUNYA ANYE KUKU BATA KAHARISHA. ILA MZIWANDA AGEMPIGA SHILOLE MGEONA SAWA!!!!!ACHANI MFUME DUME HUO!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad