AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Safari ya hao vijana kutoka Geita iliishia mikononi mwa polisi baada ya kufika Dar bila kutimiza lengo lao la kumuona Rais kwa kili kinachosemekana kuwa hawakufuata utaratiba unaopaswa ili kuweza kumuona Rais wa nchi hiii, chama cha Chadema baada ya kuwatoa kimesema kitahakikisha haki yao inapatikana na kama watashtakiwa basi itachukua jukumu la kuwasimamia mahakamani..
Je Mdau wa Udaku Una Maoni Gani Kuhusu Hao Vijana Waliotembea Muda wa Mwezi mmoja na Mwisho hawakuweza kutimiza lengo lao?
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Rais mwenyewe anatakiwa kuwaagiza hao waliowakamata wawaachie ili aonane nao na kusikiliza ujumbe waliomletea.
ReplyDeleteWapewe nafasi ya kuonana nae rais
ReplyDeleteWapewe nafasi ya kuonana na rais
ReplyDeleteHIYO NI KHAKI YA KILA RAIA, NA HAWA NI WAPIGANIA KHAKI YA KILA MMJA, NCHI IPATE KUENDELEA TUNAITAJI KHAKI SAWA, SIO WENGINE WAKINASCROW NA MAFISADI, WAKATI WENGINE WANAUMIA
ReplyDeleteAngekuwa ni rugemalira ,angepewa hadi chai kwa garama kodi yetu
ReplyDelete