Chadema Yawasaidia Kutoka Mahabusu Vijana Waliotembea kwa Miguu Toka Geita Mpaka Dar Kumuona Rais

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Chama cha Upinzani cha Chadema Imewasaidia Vijana watatu kutoka mahabusu Baada ya Kukamatwa na Jeshi la Polis Ijumaa iliyopita, Vijana hao walitembea kwa Miguu kutoka Geita mpaka Dar es salaam huku wakiwa wamevaa magunia kwa muda wa mwezi mmoja ili kuja kumshinikiza Rais Jakaya kikwete kutatua matatizo yanayowakabili wananchi na kutumia vitega uchumi vizuri kwa faida ya kila mwananchi

Safari ya hao vijana kutoka Geita iliishia mikononi mwa polisi baada ya kufika Dar bila kutimiza lengo lao la kumuona Rais kwa kili kinachosemekana kuwa hawakufuata utaratiba unaopaswa ili kuweza kumuona Rais wa nchi hiii, chama cha Chadema baada ya kuwatoa kimesema kitahakikisha haki yao inapatikana na kama watashtakiwa basi itachukua jukumu la kuwasimamia mahakamani..

Je Mdau  wa Udaku Una Maoni Gani Kuhusu Hao Vijana Waliotembea Muda wa Mwezi mmoja na Mwisho hawakuweza kutimiza lengo lao?
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Rais mwenyewe anatakiwa kuwaagiza hao waliowakamata wawaachie ili aonane nao na kusikiliza ujumbe waliomletea.

    ReplyDelete
  2. Wapewe nafasi ya kuonana nae rais

    ReplyDelete
  3. Wapewe nafasi ya kuonana na rais

    ReplyDelete
  4. HIYO NI KHAKI YA KILA RAIA, NA HAWA NI WAPIGANIA KHAKI YA KILA MMJA, NCHI IPATE KUENDELEA TUNAITAJI KHAKI SAWA, SIO WENGINE WAKINASCROW NA MAFISADI, WAKATI WENGINE WANAUMIA

    ReplyDelete
  5. Angekuwa ni rugemalira ,angepewa hadi chai kwa garama kodi yetu

    ReplyDelete

Top Post Ad