Clouds FM Yanyangwanywa Mtangazaji Mwingine na Radio Mpya EFM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

ALIYEKUWA Mtangazaji wa vipindi vya Michezo wa radio Clouds Dar es Salaam, Ibrahim Masoud 'Maestro' leo amekamilisha usajili wake wa kujiunga na Kituo maarufu hivi sasa cha radio hapa jijini Dar es Salaam cha EFM 93.7.

Maestro ameungana na magwiji wengine katika utangazaji wa vipindi vya michezo nchini wakiwemo Maulid Kitenge na Omary Katanga ambao wapo katika radio hiyo inayokuja kwa kasi jijini.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Poa tu maana clouds FM ni radio ya wahuni.
    Naombea na H.K nae atoke hakumfai.

    ReplyDelete

Top Post Ad