Dawa ya Mapenzi, Mvuto, Kumvuta Aliyembali, Kumshika Mpenzi Yapigwa Marufuku

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kumekuwa na tabia hasa kwa wanawake kwenda kwa waganga na kutaka dawa na kumvuta mpenzi ama kumdhibiti mwaname
Sasa kwa taarifa yako kwa wale wanaopenda kutumia Ushirikina kwenye suala la Mapenzi sasa mwisho wao umewadia, Serikali imeshapiga marufuku Waganga wa kienyeji wenye shughuli zinazohusiana na kupiga ramli.

Jipangeni upya mapenzi si ramli wala Mitishamba..
Huko kwa waganga mnaenda kudanganywa tu na mwisho kujikuta kutumia hela nyingi sana bila sababu , na kuna habari kuwa waganga wengine wanakulala kwanza wewe wakidai wanakuwekea dawa kwa njia ya kufanya mapenzi ili uwe na mvuta kama inavyoonekana hapo kwenye picha..

Akila Kimkichwa mapenzi si Ndumba Jamani
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dr kanyas mtaalamu wa tiba asili anazo dawa kwa ajili ya nguvu za kiume kurefusha uume na kunenepesha uume...anatibu UGUMBA...UTI..PID...kwa anayehitaj wasiliana nae kupitia 0764839091

    ReplyDelete
  2. Dr kanyas mtaalamu wa tiba asili anazo dawa kwa ajili ya nguvu za kiume kurefusha uume na kunenepesha uume...anatibu UGUMBA...UTI..PID...kwa anayehitaj wasiliana nae kupitia 0764839091

    ReplyDelete

Top Post Ad