Wanawake Mnaojichubua Ngozi Mnaniudhi na Mnakera Mno

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mimi sijawahi kuona wanawake warembo kama weusi, ni warembo mno, infact wanavutia sana.

Cha kushangaza sasa, kuna mijitu yenye upungufu wa akili kichwani inajichubua bila huruma, kibaya sasa, kwenye zile joint za mikono na miguuni unakuta rangi yake ya asili inabaki, na hata sehemu zingine za mwili unakuta mabaka mabaka, yaani huwa nasikia hasira sana.

Ki ukweli Hata uwe Mzuri wa Aina Gani yaani Ukiwa  umejichubua ngozi mimi nakushusa samani 100% siwezi hata kukupa mistari , Na ukiangalia wanawake wengi waliojichubua ni watata hata kwenye ndoa zao huwa hazidumu kiivyo....

Maoni yako Tafadhali kuhusu Wanawake wanaojichubua

---------------------
Qoute of the Day
'You've gotta dance like there's nobody watching,
Love like you'll never be hurt,
Sing like there's nobody listening,
And live like it's heaven on earth.'


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wala hujakosea, sina hata urafiki wa bahati mbaya na aliyejikwatua... inasikitisha kuona kuna watu wana rangi ambazo hata majina hazina kutokana na athari za kujichubua. mbaya zaidi kuna wasiojifunza kutokana na makosa ya waliojichubua kitambo. athari zake iko njiani zaja, yangu macho... wengi wao walikua wazuri,,, sana, ila sasa la hasha!

    ReplyDelete

Top Post Ad