AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
"Hizo stori mnazosikia hazina ukweli wowote na ndio maana niliamua kukaa kimya sikutaka kujibizana kwenye vyombo vya habari kwa uongo wa baadhi ya magazeti ya udaku ila ninasikitika sana kwani kuna watu wamekaa na kujipanga kisawa sawa kwa ajili ya kuhakikisha wanaharibu huduma yangu kwa gharama zozote, lakini bado ninasonga mbele kwani mwanzilishi wa huduma yangu ni Mungu na huyo ndiye atakayeimaliza na sio mwanadamu"
Hayo alifunguka mwimbaji wa nyimbo za injili Flora Mbasha
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
MIYE SIJAKUELEWA UNAPOSEMA STORY ZOTE NI UONGO KWA HIYO MPO PAMOJA NA MUME WAKO AMBAYE MUNGU ALIWAUNGANISHA???????????????
ReplyDeleteYaani hapo kaniacha njia pande...hebu tueleze kinaganaga ubwaga upo naye ama la!!!!!! kisha utupe mada yote.
ReplyDeleteJamii haikuelewi
ReplyDeleteHata wasanii wa bongo flavor wanakuzidi ujanja? Ukiwa mjanja kuchapiwa nisiri ya ndani!
ReplyDeleteUNASEMA HUDUMA MUNGU AMEKUPA UTOE JE UNAMTII HUYO MUNGU UNAYEMTAJA?? KILE UNCHOIMBA UNAKIFANYA ???
ReplyDelete