AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mwanamuziki huyo anakabiliwa na kesi ya kukamatwa na madawa ya kulevya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar wakati akisafiri kuelekea mkoani Mbeya kwa ajili ya kutumbuiza mwaka jana.
Kesi hiyo imesomwa mbele ya Hakimu Waliarwanda Lema.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Kakutwa na dawa za kulevya kwa nini kesi ichukue muda mrefu hivi?
ReplyDeleteHongo/ Rushwa eeeh!
Au hawana uhakika na kesi wanayo mpa!
ReplyDelete