Hivi Ndivyo Millard Ayo Alivyosherehekea Siku ya Kuzaliwa Kwake Pembeni ya Mrembo Jokate Mwegelo kama Mpenzi Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtangazaji wa kipindi cha Amplifaya cha Clouds FM, Millard Ayo, jana alikuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Kwenye party yake ndogo ambayo aliamua kuifanyia nyumba kwake, ni msichana mmoja tu special aliyepata nafasi exclusive ya kusherehekea naye – Jokate Mwegelo.

“This is what you do after you cook. You eat cake lol. Happy Birthday to the GREATEST to ever do it @millardayo,” alitweet Jokate.

Siku za hivi karibuni wawili hao wamekuwa wakidaiwa kuwa na uhusiano. Hata hivyo Jokate alikanusha.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wapenzi hao waache janja yao

    ReplyDelete
  2. Siri ya nini?kuogopa nini?
    Mkwendeeeeeeeeee!

    ReplyDelete
  3. wanapendeza kama ni couple!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad