Tetesi za Mwanamke Mmoja Kujiua Baada ya Kuchambwa Sana Kwenye Blog Maarufu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Leo Asubuhi Zimeibuka Tetesi kuwa kuwa Kuna Mwanamke Mmoja ajulikanae kama Violet amefariki Dunia baada ya Kusemwa sana na Blog hiyo, Habari ya kifo chake bado haijazibitishwa rasmi kwani kwenye mitandao  ya instagram na Facebook  kila mtu anaongea lake , Wengine wakisema kuwa mwanamke huyo anafake kifo chake ili u-turn waondoe post iliyomsema na kuweka mambo yake ya siri hadharani..Tutawaletea Updates za Habari hii Baadae tukipata uhakika wa kilichotokea

Ila kama ni kweli RIP Violet
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kachambwa balaaa na umchepuko wake umeweka hadharani, na watu wanaotukana wenzao kwenye mitandao ndo wajifunze na wakome.

    ReplyDelete

Top Post Ad