JB:Tasnia ya Bongo Movies Inaangukua Kifo Kama ulivyoanguka Muziki wa Bongo Flava Katika Mauzo ya Album

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwigizaji na mwongozaji mkongwe wa filamu za Kibongo Jacob Stephen ‘JB’ ametoa dukuduku lake la moyoni na kusema kwamba tasnia ya filamu ipo katika hali mbaya.

JB ambaye amefanya kazi kubwa katika kuiinua tasnia hiyo alisema, filamu inaangukia katika kifo kama ulivyoanguka muziki wa Bongo Fleva kutokana na soko kushikiliwa na maharamia.

Staa huyo alisema hali hiyo inawafanya wasambazaji kuanza kuikimbia tasnia hiyo na wengine kushusha bei ya filamu.

Hali ya soko kwa sasa ni mbaya sana kwani uharamia umezidi, kwa mtazamo wangu najua tunaelekea mwisho, hata kitendo cha msambazaji mkubwa kama Steps kuamua kushusha bei ni kutapata na kujaribu kukuruka kutokana na hali ilivyozidi kuwa mbaya.

Wasambazaji wa muziki walikuwa wakiwalalamikia maharamia kwa kuwazidi nguvu na serikali ikabaki kimya bila ya kuyafanyia kazi malalamiko yao, kama inavyofanyika katika filamu sasa,” aliongeza.

Katika mtazmo wake, JB anaamini kwamba suala la kushusha bei ya filamu wakati maisha yanapanda ni kifo cha tasnia hiyo inayopendwa na Watanzania wengi.
~BongoMovies
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad