Zari Acharuka Baada ya Shabiki Kumpa za Uso Kuhusu Kutokuwepo Kwenye Siku ya Kuzaliwa kwa Mtoto Wake Huku Akitanua na Diamond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mrembo zari the boss lady Jana amempa za uso hater anaye jaribu fatilia maisha yake kisa kikiwa ni kitendo cha zari kuwepo Rwanda katika show na kula bata with her baby Diamond Platnumz hali kuwa mwanae alikuwa anasherehekea siku ya kuzaliwa Kwake huko Uganda 

Mchezo Mzima ulikuwa hivi:

Zari alipost picha na maneno haya hapa chini :

'Bday s/out to my soldier Raphael aka Didi.... love baby. Throwing u a bigggggg parrrrryy once we touch base in SA'

Shabiki mmoja katika hiyo post akaandika hivi :

'Hata Bday haupo nae Maskini Mtoto'

Sasa Hapo ndipo palipo mgusa Zari na Kufunguka Hivi Hapa Chini:

'Don't come here pretending to know my f**cking life or my kid's life or anything about us. Keep ur f**cking miserable low life a*s where it belongs just don't act like u know us..Just don't talk about my Kids...Stay off ma kids issues they ain't your issues to handle but ma god damm Business'

 Je, wewe unamtazamo gani juu ya hili?
~udakuspecially.com
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Cheche kweli huyo mwanamke I will never put anybody above my kids,sasa huyo mwanamke ameona starehe ni bora kuliko watoto? Masikini watoto watapata matatizo ya kisaikolojia ukubwani kama Diamond na huyo Zari mwenyewe kwa kutelekezwa na wazazi wao.

    ReplyDelete
  2. Watoto wa matajiri ndio maana wanakuwaga mcharuko, baba mtu yuko anakula bata kivyake, mama mtu kivyake watoto wanalelewa na Nanny. Maisha haya bora masikini yuko karibu na wanawe huku wanashindia zao dagaa na dona lakini wana amani na furaha moyoni.

    ReplyDelete
  3. Ukweli unauma,
    Sikukuu watu huspend na family zao,yeye kutwa kujichoresha ktk mitandao.
    Akinangwa anakuwa mkali.Warembo wapo wengi na wana wapenzi ila si malimbukeni kama hawa.Its ur goddam life don't sell it,we are tired .
    Kwani nyie tu ndo mwajua kupendana!!Kalee watoto!!

    ReplyDelete
  4. yaaan huyu demu na huyo domo ndo wamekutana wapenda sifa kila sehemu wapo washenz unasahau ht wanao x mass uko na dai mwaka mpya uko nae huna cha kufanya

    ReplyDelete
  5. JAMANI HAYO NI MAISHA YAKE!!! PILIPILI SHAMBA MWAWASHA NA NINI??

    ReplyDelete
  6. kweli ni miserable witches ndio kutwa kufwatilia maisha ya wengine ya kwao yame wavundia. Hivi hizo besidei za watoto wenu mmekuwepo mara ngapi kama si ushuzi hewa kuwajaa kwa ubongo. Mijanamike mingine hasara tupu kuwa duniani.

    ReplyDelete

Top Post Ad