Jide: Kazi ya muziki nzuri jamani, Nilitoka kwetu na elfu 6 nikarudi mkoba umejaa. Aringishia mkwanja alizotunzwa jukwaani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii akishafanikiwa kuwashawishi mashabiki kulipa kiingilio na kuingia kwenye show yake, hana kazi ya ziada zaidi ya kufanya show nzuri ambayo huwafanya mashabiki wenyewe kuingia tena mifukoni na kuwatunza kwa misimbazi ya kutosha.

Lady Jaydee kupitia Instagram ametuonesha.....



noti za msimbazi ambazo alitunzwa jukwaani na mashabiki waliohudhuria show yake ya jana pale MOG.

Kwenye picha hiyo ameandika:

“Asanteni wote mlionitunza jukwaani Nilitoka kwetu na alfu 6 Nikarudi mkoba umejaa
Kazi ya muziki nzuri jamani Ila Haka ka mkoba jana @niitesonga alikuwa anataka kuka kwapua Mi mwenyewe nna madeni kibao Nawaza nianze lipi kulilipa “

~Bongo5
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. The Fact that you're Not where you want to be should be all the MOTIVATION you NEED.

    ReplyDelete
  2. ALAAAAA KUMBE NA WW UNA MADENI!! I CANT' BILIVU THIS.

    ReplyDelete
    Replies
    1. KAMA NI MFANYA BIASHARA LAZIMA UTADAIWA TU ACHA USHAMBA WEWE. MAREKANI YENYEWE INADAWAI SEBUSE JIDE MTU BINAFSI!!!

      Delete
  3. Huyu mdada mjanja kweli. Kampiga kibuti jamaaa yake halafu yeye anaendelea kupeta tu. Lakini hiyo ndio sawa. Ni kuwakomesha tu hao wanaume wanao penda kula na kulala na kuishia kupenda vitu vya dezo.......sasa yule jamaa kapotea kabisaaa hatumsikiii tena. Probably yuko depressed.

    ReplyDelete
    Replies
    1. nambie depressed kwa lugha yetu miye sijaelewa

      Delete
  4. Selikali inadaiwa sembuse jide

    ReplyDelete

Top Post Ad