AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Lady Jaydee kupitia Instagram ametuonesha.....
noti za msimbazi ambazo alitunzwa jukwaani na mashabiki waliohudhuria show yake ya jana pale MOG.
Kwenye picha hiyo ameandika:
“Asanteni wote mlionitunza jukwaani Nilitoka kwetu na alfu 6 Nikarudi mkoba umejaa
Kazi ya muziki nzuri jamani Ila Haka ka mkoba jana @niitesonga alikuwa anataka kuka kwapua Mi mwenyewe nna madeni kibao Nawaza nianze lipi kulilipa “
~Bongo5
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
The Fact that you're Not where you want to be should be all the MOTIVATION you NEED.
ReplyDeleteALAAAAA KUMBE NA WW UNA MADENI!! I CANT' BILIVU THIS.
ReplyDeleteKAMA NI MFANYA BIASHARA LAZIMA UTADAIWA TU ACHA USHAMBA WEWE. MAREKANI YENYEWE INADAWAI SEBUSE JIDE MTU BINAFSI!!!
DeleteHuyu mdada mjanja kweli. Kampiga kibuti jamaaa yake halafu yeye anaendelea kupeta tu. Lakini hiyo ndio sawa. Ni kuwakomesha tu hao wanaume wanao penda kula na kulala na kuishia kupenda vitu vya dezo.......sasa yule jamaa kapotea kabisaaa hatumsikiii tena. Probably yuko depressed.
ReplyDeletenambie depressed kwa lugha yetu miye sijaelewa
DeleteSelikali inadaiwa sembuse jide
ReplyDelete