Pichaz: Mtoto wakajala ni tishio kwa uzuri kwa vibinti vistaa vyote hapa bongo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Paula Kajala
 Nilikuwa napita pita zangu huko Google kutafuta udaku nikakutana na hizi baadhi ya picha za mtoto wa kajala na Producer wa Bongo Flava P Funk , Ki ukweli japo bado ni mtoto sana kwa umri ila ni mzuri wa sura miaka kadhaa ijayo nahuhakika atakuwa moto wa kuotea mbali ....Embu angalia hizo baadhi ya picha uniambia kama na wewe unaona nachoona mimi



----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hajui wazuri.nahisi umepewa mlungula ili uandike habari hii.kweli ni mzuri kiasi hicho ulichoandika

    ReplyDelete
  2. wa kawaida sana

    ReplyDelete
  3. wa kawaida saaana

    ReplyDelete
  4. wakawaida sana wazuri zaidi yake wapo wengi sura yake hata mtoto wangu anampita sema labda yeye amejulikana sana kwa vile wazazi wake wote ni super star wa bongo

    ReplyDelete
  5. Ulitaka awe mbaya

    ReplyDelete
  6. Ukweli si vizuri kusema mtoto chini ya 18 unamsema ili? atongozwe, ajione ni mzuri ali uzuri wake ndio iwe kinga yake Mtie mtoto kwa mambo ya maendeleo sio kumuelekeza kwenye umalaya

    ReplyDelete

Top Post Ad