Lulu:Sijawahi Kuwa Mweusi, Rangi ya Mtume Nimezaliwa Nayo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Urembo:Mrembo na mwigizaji wa filamu za kibongo, Diana Elizabeth Michael ‘Lulu’ hivi majuzi alitupia picha yake ya zamani mtandaoni (hiyo hapo juu) ikiwa kama ni “ThrowBackThursday” (TBT) yake, na kuiandikia mameno haya;





  • “Let me ThrowitBack ,Shikana Mama, Enzi ZaUjanaSijawahi kuwa mweusi lol..! Rangi Ya Mtume Nimezaliwa Nayo”


Wengi walimsifu na kumpongeza Lulu  kwa kuweza kuitunza ngozi yake kwakutupia “comments” na kugonga “likes” za kutosha kwenye picha hiyo, kwani anaonekana kuwa hatumii madawa/vipodozi ya kujichubua kama wadada wengi  wa siku hizi hutumia madawa/vipodozi ili kubadili rangi za ngozi zao.

Jiwe gizani, wewe je hautumii? Hata wa kaka nao nasikia wamo!!!!.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ona watu wanavyomwaga hela huku. nenda kwenye hiyo link http://earn4youth.com/?ref=51613

    ReplyDelete
  2. Tatizo la kujichubua ni kuwa halibadili kila sehemu ya mwili. Watajichubua sehemu nyingine zenye muonekano ili kuzubaisha bwege lakini kama ni mtu mjanja utajua tu. Zile sehemu za Siri zitabakie vile vile nyeusiiiiiiiiiiiiiii....................dadeki.....

    ReplyDelete
  3. Wengine ni nature tu kipapa cheusi,haimaanishi wamejibadilisha ngozi.Na elimu uwakomboe jamani,kama uhamin rangi ya kishtobe wako tafuta picha zake kipind anakua.

    ReplyDelete

Top Post Ad