Martin Kadinda na Aunty Ezekiel Wanaswa Katika Pozi Tata Wakiwa Ukumbini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wema Sepetu kushoto , kulia ni Aunty na Martin Kadinda Wakifanya yao
~Udaku
MWANAMITINDO maarufu Bongo, Martin Kadinda na mwigizaji Aunt Ezekiel wamenaswa chobingo wakiwa katika pozi tata.Tukio hilo lililoibua maswali mengi yasiyokuwa na majibu lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika Klabu ya 71, Tegeta-Kibaoni jijini Dar kulipokuwa na shoo ya kuukaribisha mwaka iliyoandaliwa na Kampuni ya Endless Fame.

“Mh jamani huyu Aunt si ana mume? Halafu si ana kibuzi chake kingine? Huyu Martin naye imekuwaje tena,” alisikika jamaa mmoja ukumbini humo.

Alipoulizwa Aunt kuhusu tukio hilo, alisema wamekumbatiana kirafiki tu na si wapenzi.
~Globalpublishers
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. NA NYIE WAANDISHI MNAWAPA MAUJIKO YASIONA NA MAANA YAANI AKILI ZENU ZIMETEKWA NA HAWA MASTAR !! KILA SIKU LAZIMA MUWAANDIKE HATA KWA VITU VISIVYO NA MAANA

    ReplyDelete

Top Post Ad