Mwigizaji Dokii Atangaza Kusaka Mwanaume wa Kumuoa 2015

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MSANII wa filamu na muziki Ummy Wenslaus ‘Dokii’ amefunguka kuwa ndani ya mwaka 2014 hajapata mwanaume wa kuendana naye hivyo endapo akibahatika kupata mwenye upendo wa dhati mwaka huu, atampa kila kitu anachokihitaji.

Akipiga stori na paparazi wetu, Dokii alisema kitu kikubwa kilichomfanya awatoe wanaume moyoni kwa mwaka 2014 ni kutokana na wengi wao kutokuwa na upendo wa dhati.

“Siwezi kuwa na mpenzi wakati kila siku naona wenzangu wanalia, sijui nitapata wapi mwanaume mwenye upendo, wengi wapo kwa ajili ya kufanya ngono na mwisho wa siku wanakuumiza,” alisema Dokii.
~Globalpublishers
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. unataka kuolewa baada ya kuwa umetumika sana hivyo ........... labda kaolewe na mzee

    ReplyDelete
  2. we c umeokoka. Nenda kanisani nina hakika utapata. ILA USIWE NA UCHAGUZI UTAPATA Muinjilist. ILA HAO UNAO WATAKA MACHECK BOB, WENYE HELA, NA UPENDO IS "impossible" mamaaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad