AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mh.Sungu Mbunge wa Mbeya Mjini amenusurika ajali leo akiwa katika harakati za kudelete magamba maeneo ya mlima kitonga.
Tuchukue frusa hii kumtakia pole kamanda wetu mungu amwepushe na mabalaa haya,Ni ulozi tu wa migamba Pole saaana Mh Sugu, tunamshukuru Mungu kukuepusha kwa ajali hio mbaya.
Habari zinadai kuwa ajali hiyo imesababishwa na Break za Gari Kushindwa kufanya kazi wakati wanateremka katika mlima huo mkali ikabibidi waigongeshe ukutani maana bila hivyo wangetumbukia korongoni.
Wote waliokuwa katika gari hilo wapo Salama Kabisa..
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Heee sugu rais wa mbeya nakupenda sana. Mungu akuepushe na mabalaa ya dunia hii uje utuongoze tena kipindi kijacho wanaokutakia mabaya washindweeee !!!pole kwa yaliyokukuta na Mungu akuongoze kokote uendako mbunge wangu.
ReplyDeleteMi nina bad feelings na huyo meya wa hapo jijini mbeya.nahisi anataka kuwamaliza viongozi wote wa chadema. Mbayaaaaaa kweli huyo.
ReplyDelete