'Mimi Bado ni Chuma Cha Reli Nina Lipa , Nikiamua Kuolewa Naweza Tena Bila Shida' Monalisa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwigizaji mkongwe wa filamu hapa  Bongo, Yvonne Cherly ‘Monalisa’ (33) amesema kuwa yeye siyo gubegube kwani alishawahi kukaa ndani ya ndoa lakini sasa ameamua kutulia.
Yvonne Cherly ‘Monalisa’
Akipiga stori mbili-tatu na  Gazeti la Uwazi, Monalisa alisema kuwa hata kama akiamua kurudi upya kwenye ndoa anaweza na kutilia msisitizo kuwa mwanaume atayemuoa lazima atambue kuwa anayemuoa ni Yvonne Cherly na si Monalisa kwani jina hilo litakalokuwepo kwenye cheti cha ndoa.

“Mimi si gubegube, nikiamua kurudi na kufunga ndoa naweza tena nitaolewa kama Yvonne Cherly kwani ndilo jina langu halisi. Ninachokiwaza kwa sasa si kukaa ndani ya ndoa bali namna kazi zangu zitakavyoweza kuonekana zaidi,” alisema Monalisa.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kuolewa ni majaliwa si kuamua kama unavyodhani... ndoa ilishakushinda uliachika mapema sana.... ... hao wanaume ulionao wanakuchezea tu, hakuna anaye fikiria kukuoa usijidanganye


    ReplyDelete
    Replies
    1. Mh unamaneno utadhani unamlisha monalisa lool tena umkomee

      Delete
    2. Kila mtu ana mume au mume wake, ataolewa tu kwa mpango wa Mungu

      Delete
  2. monalisa hafai kuwa mke labda akutane na mwanume limbukeni asiyewajua wanawake.. monalisa amekalia tu MISIFA YA KIJINGA, NYODO na KUJITIA ANAJUA KILA KITU.

    ReplyDelete
  3. Anonymous 11:56 umeongea point: ni kweli kuolewa ni mpango wa Mungu na sio monalisa akitaka, yaani ni majaliwa ya mwenyezi Mungu na siyo matakwa ya monalisa. Kwa hiyo tunakubaliana na alichoandika Anonymous 5:24 hapo juu

    ReplyDelete
  4. kazi ipo kinachokuludisha kwenye ndoa ni nini? kama hukushiba cha kwenye sahani cha kwenye kijiko utashiba acha ufala wewe endelea na uzinifu tu mwisho wa siku tukuzike

    ReplyDelete

Top Post Ad