Mtangazaji Maarufu wa Radio Free Africa Atimkia Clouds Fm

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Fredwaa Kulia Akiwa na Issa Michuzi
Mtangazaji anayejulikana almaarufu kama Fredwaa kutoka Radio Free Africa, sasa yu ndani ya mjengo wa Radio Clouds kipindi cha Power Breakfast, akiungana na Mbwiga, Gerald Hando, Boonge n.k. Mtangazaji huyu alijizolea umaarufu katika kipindi chake cha asubuhi pale RFA, ambapo pamoja na mambo mengine alikuwa na segment inaitwa Vodacom Top 5...

Je unadhani ameenda Clouds kuua kipaji au kuboresha kipaji?


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad