AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Flaviana Matata |
“Kila kitu kitaendelea kama kilivyo sasa mpaka pale nitakapoona sasa imetosha nifanye mambo mengine, lakini haitabadilisha chochote, itabadilisha status tu ndo inakuwa mrs flani basi.” Alisema kupitia XXL ya Clouds Fm.
Mwanamitindo huyo wa kimataifa ambaye hufanyia shughuli zake Marekani, hajataka kumuweka wazi mchumba wake lakini amesema ni Mtanzania anayeishi Marekani.
Baada ya kuulizwa kwanini amechagua kuolewa na Mtanzania mwenzake, alijibu hiki:
“Utamaduni ni muhimu sana, Kiukweli simzui mtu kuolewa na utamaduni wowote lakini mimi najua nachokihitaji katika maisha yangu, najua hatufanani najua mwingine anataka mzungu mwingine muhindi, lakini mimi cha kwanza kabisa utamaduni ni muhimu sana.”
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
hongera sana bibie!!!!
ReplyDeletehongeraa mamiii but ndoa sio rahisi kama unavofikili so kunavitu itakubidi ubadilike ukishindwa itakushinda mamiiii. bravooooo to uu
ReplyDeletehongeraa mamiii but ndoa sio rahisi kama unavofikili so kunavitu itakubidi ubadilike ukishindwa itakushinda mamiiii. bravooooo to uu
ReplyDeleteniceee
ReplyDelete