Nini Tena Kimemsibu Jacqueline Wolper? Hebu Soma Alivyofunguka Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kupitia kwenye page yake moja ya mtandao maarufu wa kijamii nchini, mwanadada wolper amefunguka haya yafuatayo…



"Maandishi ya uwongoo yananiharibia sana huusianao wangu plz stok na msani yoyote Tanzania wala nyege zangu azimalizwi na msani yoyote Tanzania ninamwanaume wangu namuheshm ananiheshim nasipo kuweka mahusiano yangu adharanii wala mitandaoni Maana nimtu na heshima zake.. nimeumwa na nyoka mara ya kwAnza so ata jani likinigusa ninashtuka kikubwa sina mapenz ya matangazo wala mitandaoni stak kuandikwa kwa lolote lisilolaukweli ..nawewe unaefurah me kuandikwa nawewe ikiwa ukweli unaujua kma niuwongo jua kuwa unaniharbia kwa walinizunguka cc wazazi wangu na Mahusiano yangu ..” Mwisho wa kunukuu



Jamani, kiukweli hatujui Wamemfanya nini Jacquiline Wolper wetu, ila mwenye "ubuyu" kamili wa kilichotokea tunaomba atufahamishe kupia comments hapo chini maana namba ya Jack tunayompigia ili atupe ukweli wa mambo haipatikani…

Kizuri share na wenzako
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kibabu chake kishampa mikwla mamae!

    ReplyDelete
  2. Eeeh! Amakweli nyinyi ni 'udaku specially' mnapenda umbea kuliko chakula!

    ReplyDelete
  3. kumamako si ameshakuambia ataki kufatiliwa unataka kujua nini tena

    ReplyDelete

Top Post Ad