Nitaachaje kupenda makalio ya wanawake? Napitiliza Hadi Kituo Kisa Nimeona Mwanamke Mwenye Kalio Kubwa Ndani ya Dalala..Ushauri

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwenzenu karibia naumbuka yaani nikiona mwanamke mwenye makalio makubwa nachanganyikiwa kabisa nakupoteza network, yaani inafikia mahali hata kama niko kwenye daladala naenda mahali akipanda mwanamke aliyejaliwa maeneo ya nyumba basi nihakikisha nashuka kituo atakachoshuka hata kama nikupitiliza napoenda naona sawa tu ili mradi nimpe maneno mawili matatu huyo mwanamke .

Hii Tabia imenifanya nipoteza muda na mambo mengi ya msingi katika maisha yangu , moja kubwa nakumbuka mwaka jana niliitwa kwenye interview shiriki moja maeno ya Kijitonyama sayansi, nikiwa kwenye daladala kutokea mwenge kwenda posta nilijikuta nimefika posta kwa kumfuata mdada mmoja, baada ya hapo nikajikuta nimechelewa hiyo Interview na mbaya zaidi huyo dada hakutaka hata kuongea na mimi baada ya kushuka kwenye dalala.

Waungwana Naombeni ushauri nifanye nini niache hichi kitabia?
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyo ostaz juma amefulia mpaka sasa hivi anafanya utapeli misikitini kwa kuwauzia waumini maji yenye marashi kwa kuwadanganya ni dawa ya maradhi yote ili apate pesa ya kudhamini mziki. Tukio hilo amelifanya Arusha Njiro alivyogundulika akakimbia kunsurika kipigo cha waumini

    ReplyDelete

Top Post Ad